TBT: Pichaz za utoto za Zidane, Lionel Messi, Ozil, Januzaj na Vincent Kompany.

Mtu wangu wa nguvu alhamisi ya August 11 2016 naomba nikuletee TBT Pichaz za mastaa wa soka ambao wamekuwa wakifanya vizuri katika soka, leo August 11 naomba nikusogezee TBT picha za Adnan Januzaj wa Man United, Mezut Ozil waArsenal, Lionel Messi wa FC Barcelona, beki wa kati na nahodha wa Man City Vincent Kompany na kocha wa sasa wa Real Madrid Zinedine Zidane.

Mesut Ozil aliyezungushiwa duara enzi zake za utoto

Mesut Ozil

Kutoka kushoto ni muonekano wa utoto wa Zinedine Zidane na kulia ni muonekano wake wakati anacheza soka.

Zinedine Zidane

Kutoka kushoto ni muonekano wa utotot wa Lionel Messi na kulia ni muonekano wake wa siku za karibuni.

Lionel Messi

Vincent Kompany wa katikati pichani enzi zake za utoto

Vincent Kompany

Enzi za utoto za Adnan Januzaj wa Man United

Adnan Januzaj
Post a Comment