Shilole katuletea hii single mpya ‘Mtoto Mdogo’ akiwa na Man Fongo

Ni August 9, 2016 Shilole anaziandika headlines kwenye Bongo Fleva kwa kuachia single mpya iitwayo Mtoto mdogo aliyomshirikisha mkali wa nyimbo za Singeli maarufu kamaMan Fongo, imetayarishwa katika studio za Mr T Touch.
Unaweza ukabonyeza HAPA kuisikiliza single hiyo mpya
Post a Comment