Header Ads

:Msemaji wa Dakta RIEK MACHAR ameonya kuwa, huenda Sudan Kusini ikatumbukia tena kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe iwapo Umoja wa Afrika hautaingilia kati.

:Msemaji wa Dakta RIEK MACHAR ameonya kuwa, huenda Sudan Kusini ikatumbukia tena kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe iwapo Umoja wa Afrika hautaingilia kati.
MABIOR GARANG DE MABIOR amesema askari wanaomtii Dakta MACHAR wako tayari kurejea mji mkuu wa nchi hiyo Juba iwapo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halitaidhinisha pendekezo la Umoja wa Afrika la kupeleka wanajeshi nchini humo.

No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.