Header Ads

Kauli ya Tundu Lissu kwa Rais Magufuli leo August 9 2016.


August 9 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekutana na waandishi wa habari Dar es salaam kutoa taarifa kwa umma kuhusu madai ya vitisho wanayoyapata baada ya kutangaza kufanya maandamano ya nchi nzima.
Mwanasheria wa chama hicho Tundu Lissu amesema>>>’Hakuna mtu anataka kumjaribu mtukuru Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na Polisi, mahabusu sio pazuri niwaambieni mimi ambaye nimekuwamgeni wa dola mara mbili katika mwezi uliopita‘ –Tundu Lissu
Tunachotaka kukifanya ni ambacho kipo katika katiba, mikutano na maandamano ya kisiasa kwakuwa ni halali. Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri tunamjaribu hayo ni mawazo yake‘ –Tundu Lissu



'Hakuna mtu anataka kumjaribu Rais JPM, hakuna anayetaka kukamatwa, mahabusu sio pazuri niulizeni mimi' -Tundu Lissu




'Mimi niseme wanaomshauri Rais Magufuli waanze kumsomesha sheria kwanza kabla hajatoa kauli yoyote' -Tundu Lissu




'Tunachotaka kukifanya ni kufuata haki ya katiba ya kukutana na watanzania kwa ajili ya kuzungumza nao' -Tundu Lissu




'Kama Rais JPM anafikiri sisi kufanya maandamano ni tafsiri ya kumjaribu hayo ni mawazo yake' -Tundu Lissu




 : Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu amesema hakuna mtu anataka kumjaribu Rais Magufuli

ULIIKOSA HII YA TUNDU LISSU ALIVYOFIKISHWA MAHAKAMANI KUJIBU TUHUMA ZA UCHOCHEZI


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.