Hii ndio njia mpya itakayosaidia kuepuka na magonjwa chooni….

Ni August 12, 2016 ambapo kupitia kampuni ya Anuflo Industries imezindua Believe disposable seat cover na Blotting paper ambazo zitatumika kwenye matumizi ya binadamu.
Akizungumza mbele ya waandishi wa habari Mkurugenzi wa bidhaa hizo Flora Christandus alisema>>>‘Believe disposable seat cover itasaidia hasa pale mtu anapohitaji kwenye toilet kisha ataiweka pembezoni kabla ya kukalia choo hicho ili kuzuia magonjwa mbalimbali baada ya kumaliza matumizi ya hiyo Disposable seat cover utairuhusu iende na maji‘-

.Huu ndio mfano wa matumizi ya Believe disposable seat cover chooni
‘Ya pili ni Blotting paper ambayo itatumika hasa mtumiaji anapotaka kuondoka make up usoni au jasho lake kwahiyo badala ya kutumia kitambaa unaweza ukatumia Blotting paper hizi bidhaa zitaanza kupatikana madukani‘- Flora Christandus

.Mfano wa matumizi ya Blotting paper usoni
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye uzinduzi huo uliofanyika Terrance Lounge My Fair Plaza.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.Kulia ni Mkurugenzi wa bidhaa hizo mpya, Flora Christandus akitoa maelekezo juu yaBelieve disposable seat cover ambayo itahusika kutumika katika matumizi ya chooni.
Post a Comment