AudioMPYA: AT na Peter Msechu wanakualika kuusikiliza mdundo wao mpya’Msengenyo
Najua kuna watu wangu waliwahi kutamani kusikia muunganiko wa sauti za wasanii wa Bara na Pwani na wamekuwa wakisubiria kwa muda mrefu ngoma hii kutoka kwa wasanii wako AT na Peter Msechu baada ya kuwa kimya mda kidogo kwenye game, Good news ikufikie na leo August 19 2016 wamezichukuwa headlines kwa kuachia mdundo mpya ‘Msengenyo’ iliyofanywa chini ya producer Fraga.
Unaweza Kuusikiliza mdundo huo HAPA
Post a Comment