Header Ads

AUDIO Mkoa uliotajwa kujengewa Daraja kama la Kigamboni DSM

Miundombinu ni muhimu sana katika kurahisisha maisha kwa mfano kutoka sehemu moja kwenda nyingine, Baada ya Kigamboni kuwa na adha ya muda mrefu wakitumia pantoni  na baadaye likawa limejengwa daraja la Kigamboni ambalo limekuwa msaada mkubwa.
Sasa ni zamu ya watu wangu wa Mwanza kuwa na daraja kama la Kigamboni, good news hii imetolewa kwa wakazi wa Mwanza na President Magufuli wakati akihutubia kwenye ziara yake mkoani Mwanza, Rais Magufuli amesema……
>>>’Nataka tuwe na daraja la kisasa kama la Kigamboni lijengwe Mwanza la kupita kwenye ziwa Viktoria lenye urefu wa km 3.2 hiyo ndio Mwanza ninayoitaka, hiyo ndi Tanzania ninayoitaka‘-JPM


No comments

Contact us:Email:godfreymtega@gmail.com/WhatsApp-+255758297744/+255716824009 . Powered by Blogger.